Thursday, August 03, 2006

carric HANA THAMANI hiyo kwa man utd


mnamo JUMATATU ..mashetani wekundu wa MAN UTD walifanya usajili wa kushangaza wakingia gharama ya paun mil.18.6

kumsajili kinda MACHAEL CARRICK ...

na kama haitoshi akapewa jezi namba 16 iliyokuwa ikivaliwa na ROY KEAN..

KUNA MAONI NA MASWALI MENGI JUU YA UASAJILI HUU....

kuna wengine wanaona kuwa CARRICK hana thamani hiyo...

NA KWAMBA man utd WAMEKURUPUKA KUMNUNUA

zaidi we soma hapa..

www.lucassona.blogspot.com

Wednesday, June 28, 2006

je wamjua bingwa wa kombe la DUNIA mwaka huu 2006..????
je wajua kuwa bingwa wa 1962 ndiye anayeweza kuwa bingwa wa kombe la dunia 2006 huko UJERUMANI???

Je waijua timu yenyewe iliyotajwa...?labda ni ARGENTINA.....???


au ni UJERUMANI....???
wenyeji..je labda ni BRAZIL.....???

LAKINI BADO KOMBE hili hapa....LITAMSUBILI BINGWA HUYU ALIYETAJWA...


wajua ni nani...kati ya hawa....???

fungua hapa usome zaidi....

www.lucassona.blogspot.com

Monday, June 26, 2006

kwa habari mpya za soka....fungua hapa..blog mpya ..


je wajua kuwa MAN UTD na CHELSEA sasa wako mbioni kila mmoja kumwania Fernando Torres. al maarufu kama " EL-NINO"...??????RUUD VAN sasa anatafuta ufumbuzi na suluhu na MAN UTD...akitaka kujua hatma yakehabari wasomaji woote

tafadhali kwa habari zote usizoziona hapa ..

naomba ufungue kwenye blog yangu mpya

www.lucassona.blogspot.com


kwa ushirikiano na ISACK MKONONGO. na ESPERANZA

KARIBUNI KATIKA ULIMWENGU WA SOKA ....

Friday, June 23, 2006

Raisi AC MILAN ajiuzulu...TIMU 4 kubwa zapanga matokeo ITALIA

baada ya timu na yeye mwenyewe kuhusishwa na kuwa mmoja wa watuhumiwa ...

wa skendo kubwa kabisa katika dunia ya soka lililotokea huko ITALIA..

raesi wa AC MILLAN Adriano Galliani ameamua kujiuzuru rasmi...

ikumbukwe kuwa yeye siye wa kwanza kujiuzuru ...
kwani mnamo mwezi wa 5 LUCIANO MOGGI raisi wa FC JUVENTUS timu mojawapo inayotuhumiwa alijiuzulu....wapo wengi kwani hata viongozi wa chama cha soka huko italia wamejiuzulu pia ...

kama ilivyoandikwa hapa..bonyeza

zaidi kuhusu kashfa hii na watu waliotajwa kuhusishwa fungua hapa,www.lucassona.blogspot.com


wakati huo huo imetangazwa wazi kuwa timu za FC JUVENTUS ,LAZIO ,FIORENTINA na AC MILLAN ndizo zanazohusika na upangaji wa matokeo...


na adhabu yake ni paomja na kushushwa daraja...hadi la pili "serie B" au la tatu " serie c"

huku JUVENTUS ikipoteza ubingwa wake....

FUNGUA BLOGU YANGO HAPO JUU USOME ZAIDI...

Thursday, June 22, 2006

Ratiba ya ligi kuu uingereza ndio hii....

hatimaye ile ratiba ya ligi kuu ya uingereza imetoka..

ikionyesha kuwa mabingwa watetezi CHELSEA FC wataanzia ugenini dhidi ya MAN CITY,

huku MAN UTD wakiwa nyumbani dhidi ya FULHAM...

ARSENAL FC watakuwa dhidi ya ASTON VILLA...


zaidi kuhusu ratiba nzima ya msimu

bonyeza hapa
au kwenye blogu yangu....

Wednesday, June 21, 2006

hii ndio timu bola ya raund ya pili....

Goalkeeper
Keller (USA):

Defenders

Marquez (Mexico):

Terry (England)

Senderos (Switzerland):

Midfielders

Maxi Rodriguez (Argentina):

Appiah (Ghana):

Fabregas (Spain):

Riquelme (Argentina):

Kalinichenko (Ukraine):


Forwards:

Saviola (Argentina):

Delgado (Ecuador):


------------------------------Keller---------------------------
--------Marquez-----------Terry---------Senderos------
----------------------------------------------------------------

--Maxi--------Appiah---------Fabregas----Kalinichenko
--------------------------Riquelme---------------------------

----------------------------------------------------------------
------------------Saviola-----------Delgado----------------
timu itacheza fomeshen ya

3 - 5 - 2


vipi ndugu msomaji ..we unaionaje timu hii???

Thursday, June 08, 2006

fungua blog mpya kwa habari zangu mpya....

je wa jua kuwa Raisi wa FIFA BLATTER ametaka ligi ziwe na timu 18 tu?????

wajua kama BALLACK atakosa ufunguzi wa kombe la dunia,na ameumia kiasi gani....????

Sir ALEX FERGUSON anamatumaini ya kumnyakua Franck Ribery. leo....je wajua ni vipi????

rooney ameanza mazoezi lakini madaktari wana msimamo tofauti na FA ya uingereza.....je unijua habari hii ..???

AC MILLAN watishia kuipeleka na kuichukulia hatua za kisheria REAL MADRID...kuhusu kiungo KAKA.....je wajua kwa nini ...???

majibu ya maswali yote hayo fungua web../blog yangu mpya

usome kwa nafasi habari hizi.....

www.lucassona.blogspot.com

"eti pesa za Roman Abramovich kwa chelsea ndizo zinunua ubingwa...." - MOURINHOkocha mkuu wa Chelsea FC leo amepinga na kukanusha vikali SHUTUMA na KASHFA inayoinyemelea timu ya CHELSEA FC .....

wakituhumiwa kuwa wanatumia PESA kushinda na kupata ubingwa.....

pia wanasemekana kununua wachezaji nyota ili kuzuia mafanikio na kuwa wasiende timu pinzani....
wakiwa hivi karibuni wamemnunua kinda aliykuwa wakimgombea OBI MIKEL kwa dau kubwa la paun mil.16 ....kutoka MAN UTD...
ikumukwe kuwa MAN UTD walimmnunua OBI kwa paun mil 4 tu.....
wengine ni pamoja na kina PHILIPS, KOLOU na wengineo......
zaidi we soma hapa kwenye web yangu ....

Monday, June 05, 2006

HATUJUI hatima yetu


mshambuliaji hatari wa kifaransa leo amesema kuwa yeye na jata wachezaji wenzake hawajui hatima yao ndani ya JUVENTUS FC .....

hii ni kutokana na kashfa iliyoikumba timu hiyo .....

wakituhimiwa kununua mechi na kupanga matokeo kwa zaidi ya msimu mmoja....

huku simu za ndani za raisi wa timu LUCIEN MOGGI akigombana na marefa na makocha pinzani zikiwa zimetepiwa na paparazi...

wakipatikana na hatia ni lazima washushwe daraja hadi serie B....

kitu ambacho "mastaa" wote hawataki kwenda kucheza....

zaidi we bonyeza hapa usome...

www.lucassona.blogspot.com


Saturday, June 03, 2006

MAN UTD wamuuza OBI MIKEL kwenda CHELSEA FC....
hatimaye ule "ugomvi"na mzozo wa usajili wa MIKEL OBI umefika mwisho...

MAN UTD na JOHN MIKEL OBI,kiungo matata wamekubali mkataba na kujiunga na CHELSEA FC. kwa paun mil.12, huku klabu ya LYN OSLO wakipata mil.4 zao safi.

Ikumbukwe kuwa kiungo huyo alisajiliwa na MAN UTD na baada ya wiki moja akasaema kuwa alilazimishwa kusaini na kuwa yeye anapenda kuchezea CHELSEA FC ya huko huko uingereza.

mtafaruku huo ulipelekea MAN UTD na timu ya LYN OSLO kupeleka malalamiko katika mahakama ya soka huko USWISI na FIFA ambako hadi sasa uamuzi rasmi wa kiofisi bado haujatolewa juu ya mchezaji huyo ,na kuwa atachezea timu ipi kati ya MAN UTD na CHELSEA FC

zaidi kuhusu mkataba na makubaliano .....
fungua hapa....

Friday, June 02, 2006

...uholanzi wapata majeruhi.....pamoja na kambi maandalizi mazuri


wakati wakitoka droo ya bao 1-1 ...

timu ya UHOLANZI ..walipata huzuni ya kuongezeka kwa majeruhi .....

kiasi cha kuleta hofu na mashaka kwenye kambi hiyo.....

miongoni mwa majeruhi hao ni kiungo philip cocu......

na wengineo...

zaidi soma hapa ....

www.lucassona.blogspot.com

Tuesday, May 30, 2006

Jurgen Klinsmann atakiwa kuondoka baada ya kwisha kombe la dunia....


kocha wa timu ya taifa ya ugerumani Jurgen Klinsmann aambiwa na Karl-Heinz Rummenigge kuwa ni muhimu na pengine lazima..aondoke /ajiuzuru mara baada ya kwisha kombe la dunia..

zaidi soma hapa

www.lucassona.blogspot.com

habari mpya hukusu ile "skendo" kuhusu ligi kuu ya ITALIA.ile skendo maarifu inayohusu soka la ITALIA na ubingwa wa JUVENTUS FC imechukua sura mpya sasa....
inadhaniwa kuwa JUVE FC walikuwa wakipanga na kuendesha kampeni hizi toka mwaka 1998....
na mafanikio yote waliyopata ,waliyapata kwa mbinu zisizo halali....
soka la ITALIA sasa limechukua sura ya kisiasa sana kuliko hali halisi....
na inadhaniwa kuwa siyo raisi wa Juve FC...MOGI pekeyake ambaye anahusika na upangaji wa matokeo ...na "mchezo mchafu" pia wapo watu mashuhuri na wanasiasa na wafanyabiashara maarufu...

na hiyo ndio sura halisi ya soka la ITALIA...."...biashara sana na mchezo mchafu"

zaidi we soma hapa....kwenye blogu yangu nyingine...

www.lucassona.blogspot.com

Monday, May 29, 2006

uingereza nako ; wapanga matokeo......


katika hali ya kushangaza ligi ya uingereza na chama cha soka kimekumbwa na kashfa ya upangaji wa matokeo..

ikihusisha timu moja wapo iitwayo ..BOSTON FC..

na FA imekubali kuwa imepokea tuhuma na malalamiko hayo....

fungua hapa usome zaidi...

www.lucassona.blogspot.com

Thursday, May 25, 2006

SKENDO la SOKA la ITALIA lachukua SURA MPYA ...wachezaji nyota wasachiwa nyuba zao....

katika hali ya kushangaza ,hata wachezaji na makocha kama MACELO LIPPI au refa maarufu PELUIGGI COLLINA whusishwa na kuhojiwa .......skendo kuhusu kupanga matokeo katika soka la ITALIA ,hatimaye limechukua sura mpya....ule utata na "skendo" ........juu ya ubingwa wa 29 wa "serie a" wa JUVENTUS FC waliotwaa hivi karibuni....

pia timu nyigi nyingine kama AC MILLAN ,PARMA, LAZIO,fiorentina nk. zahusishwa na utata huu ....


wachezaji kama Zlatan Ibrahimovic na Fabio Cannavaro wasachiwa wao na nyumba zao....

kipa Gianluigi BUffon ahojiwa na kuhusishwa na upangaji matokeo......

WATU ZAIDI YA 40 wahusishwa na kuhojiwa ........

ligi kuu ya ITALIA msimu ujao yahofiwa kuchelewa kuanza sasa....

na huenda ikaanza mwezi wa 10.....

uchunguzi rasmi wa kipolisi unaendelea kwa mabosi wote wa soka ITALIA.....

Huku kampuni kubwa ya GEA ambayo inadhamini zaidi ya wachezaji maarufu 200 na marefa huko ITALIA....wakiwemo makocha wa soka ....

imekuwa chini ya uangalizi wa polisi na ndio kitovu cha uchunguzi......

KWA HABARI HII ..BONYEZA HAPA.../ FOR THIS NEWS OPEN HERE..

WWW.LUCASSONA.BLOGSPOT.COM

Tuesday, May 23, 2006

Tunaomba Maoni yenu ..."COMENTS"

naomba "COMMENTS" zenu.

kwa kila habari unayosoma kwenye web hii....

bonyeza sehemu iliyoandikwa "COMENTS"

halafu chagua sehemu iliyoandikwa

"OTHER" au kwa wale wenye blogu wanaweza kusain in kama kawaida....

andika jina lako na uandike "coments" zako ,

bila kuandika "WEB -PAGE" yako kama huna....

andika "herufi nyekundu zinazoonekana hapo chini.."

na utume

nitaamua hatma yangu wiki ijayo ...Andriy Shevchenkomshambuliaji hatari wa AC MILAN Andriy Shevchenko ataweka wazi mamuzi na ukweli juu ya hatma yake ndani ya AC MILLAN.

Andriy Shevchenko alisema kuwa anahitaji kama wiki moja tu na atuambia umma na wapenda soka wote juu ya hatma yake.....


kama atahamia CHELSEA FC au ataamua kubaki AC MILAN au pengine ataamua kwenda timu nyingine yeyote.....

aliwaomba watu wasubili kidogo tu....

zaidi soma hapa nilipoificha habari hiii.....

FUNGUA .../CKLICK ..

www.lucassona.blobspot.com

HENRY ni lazima atajutia uamuzi na "mkataba wake"......Johan Cruyff


nyota mariri wa soka la ulaya na FC BARCA "mchawi na PELE mweupe" Johan Cruyff leo amesema kuwa ...HENRY ,NI LAZIMA ATAJUTUIA UAMUZI WAKE..kuamua kusaini mkataba wa miaka 4 na ARSENAL FC."

Johan Cruyff aliongea hayo alipokuwa akiulizwa na kutathmini UAMUZI"wa HENRY kuamua kubaki ARSENAL FC na kuzikacha timu nyingi maarufu duniani kama FC BARCA waliokuwa wakimtaka kwa hali na mali.

Cruyff ,alisema kuwa Henry ni wazi kuwa hajafikilia kwa kina uamuzi wake au alishinikizwa.....


na kwamba amechukuwa uamuzi mbaya kwake na kwa soka lake....

ikumbukwe kuwa Larson anatimka msimu huu na kurudi nyumbani SWEEDEN...kwa uamuzi huo wa Henry, FC Barca sasa wamebakiwa na chaguo moja tu ,nalo ni mshambuliaji wa zamani wa MAN UTD , Diego Forlhan..... au RUUD VAN NISTERLOOY wa MAN UTDKWA HABARI HII ...

nimeiandika hapa....

we fungua usome.... /OPEN HERE.....

www.lucassona.blogspot.com

Monday, May 22, 2006

nitamalizia soka langu Real de Madrid....- BECKHAM


kiungo mahiri wa REAL MADRID mwingereza DAVID BECKHAM,leo emeweka wazi kuwa hana na wala hafikirii kuihama timu yake ya REAL MADRID.
pia alesema kuwa kwa sasa anataka kumalizia soka lake katika timu hiyo ,kama alivyofanya mkongwe mwingine wa kifaransa ZINEDINE ZIDANE.
Pia alizungumzia kwa kina kuwa kuihama kwake MAN UTD hakujamwathili chochote zaidi ya kumwongezea ARI na KASI MPYA katika kipaji na soka lake...
habari hii nimeificha .....
ZAIDI WE SOMA HAPA.../FOR MORE CLICK HERE...

Friday, May 19, 2006

Ruud van Nistelrooy. kuuzwa INTER MILLAN kwa paun mil 10
Timu ya INTER MILAN leo imeonyesha wazi kuwa wanamtaka Ruud van Nistelrooy. wamepeleka ofa ya kutaka kumnunua Ruud van Nistelrooy. leo

kwa dau la paun mil.10

zaidi bonyeza hapa../for more click here..

nafasi ya Ruud van Nistelrooy bado ipo tu ....-Marco van Bastenkocha mkuu wa timu ya taifa ya uholanzi Marco van Basten,leo amemuhakikishia rasmi Ruud van Nistelrooy kuwa nafasi yake iko wazi kikosi cha kwanza,na kitu muhimu ni kuwa fit tu kimchezo

Ruud van Nistelrooy amekuwa na msimu mbaya na MAN UTD huku pia akiripotiwa kuwa na uhusiano mbaya na mabosi wa UNITED.

Akiwa amewekwa benchi katia mechi 6 mfurulizo,ikiwemo mechi ya fainali kombe la ligi.Amabapo ilifikia hatua ya kugombana na cristian ronaldo wakiwa mazoezini

Pia aliwekwa benchi katika mechi ya mwisho ya msimu dhidi ya CHALTON. na kutolewa katika kikosi kilichopangwa kumuaga Kepten ROY KEAN,na kuamua kutimkia kwao UHOLANZI siku iliyofuata tu.


Marco van Basten,alisema kuwa yeye bado anamwamini sana kijana huyo na aachane na fikra na ugomvi na hao wasiomtakia mema na Uholanzi

akaongeza kuwa kucheza sio tatizo japo ni vizuri kwake kucheza.

zaidi we soma hapa.../for more click here..

Wednesday, May 17, 2006

LEO ndio LEO huko "STADE de FRANCE"Ama kweli LEO ndio LEO

ile siku iliyokuwa ikisubliliwa kwa hamu sasa imefika.

ikiwa ni fainali iliyozungumzwa sana na wapenzi wa soka

kuna waliosema kuwa FC BARCA watachukua kombe,


na wengine waliosema kuwa ARSENA FC watachukua kombe pia...

na wale waliosema na kutoa maoni yao wakidhani kuwa siku yenyewe labda haitafika ...sasa ndio hii na tunahesabu masaa tu .ndani ya "uwanja bora wa STADE de FRANCE" ni fainali inayozikutanisha timu bola kila moja ikijivunia rekodi zake msimu huu.kombe litakuwa uwanjani.

FC BARCA wana rekodi nzuri ya kufunga bao 20 kweye msimu huu wa ligi ya mabingwa na kuwa ndio timu pekee iliyofunga bao nyingi. Huku GAUCHO akiwa na bao 7

ARSENA FC wana rekodi ya kushinda meci 10 mfurulizo na lakini wakifunga bao 4 tu katika mechi zao 6 za mwisho,huku wakiruhusu bao 1(moja) tu.

na huvyo kuwa timu yenye "NGOME" ngumu kabisa ulaya msimu huu.beki mahiri wa ARSENAL FC "majeruhi" ASHLEY COLE yeye ameshajitapa kuwa yupo fiti kumzuia GAUCHO.....

habari hiyo nimeificha hapa..WE BONYEZA TU USOME..beki mahiri wa FC BARCA naye amejitapa kuwa
"kuwafunga ARSENAL ni lazima." ..SOMA TU HAPA ...kwa kingereza..Huku kocha wa FC BARCA akisema kuwa kikosi kikosi chake kiko fiti kwa mechi hiyo...PIA HABARI HIYO NIMEIWEKA HAPA .. bonyeza hapa tu

NIANDIKIE: lucassona@yahoo.co.uk